TPDC na soko huria la mafuta ya petroli

2008-04-18 08:56:09
Na Theo Mushi
Sekta ya nishati ya petroli hapo awali ilikuwa inadhibitiwa na serikali na Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) mnamo mwaka 1962 serikali ya Tanzania ikishirikiana na kampuni ya AGIP ya Italia ilijenga kiwanda cha kusafishia mafuta ghafi TIPER kilichopo Kigamboni.

Umuhimu wa bidhaa za petroli katika uchumi wa nchi uko bayana ukizingatia kuwa usafirishaji, mitambo ya viwanda na sekta nyingine muhimu zinategemea nishati ya petroli na mafuta ya kuendesha mitambo viwandani.

Bei ya petroli na dizeli ikipanda katika masoko ya dunia uchumi wan chi changa kama Tanzania huanza kuyumba.

Ongezeko kidogo tu la kodi ya petroli kuliongeza gharama za uzalishaji viwandani na usafirishaji wa vyakula kutoka mikoani ambapo bei za vyakula zilianza kupanda kwa kiwango kikubwa na kuchangia kuongezeka kwa mfumuko wa bei hadi kufikia asilimia tisa mwezi Juni mwaka jana.

Sekta ya nishati ya petroli hapo awali ilikuwa inadhibitiwa na serikali na Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) mnamo mwaka 1962 serikali ya Tanzania ikishirikiana na kampuni ya AGIP ya Italia ilijenga kiwanda cha kusafishia mafuta ghafi TIPER kilichopo Kigamboni.

kwa habari zaidi bofya hapo chini
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2008/04/18/112624.html

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.