Jibaba laamua kubeba mimba na hatimaye kuzaa!









Mh. huyo anayeitwa Thomas Beatie, umri miaka 34, wa Oregon, USA. Anazo jinsia mbili, ya kike na ya kiume. alibadilisha jinsia na kufahamika kama dume akiwa na miaka kama 20 hivi. Awali alijulikana kama Tracy Lagondino, amewahi kushiriki mashindano kadhaa ya urembo huko nyuma na kufikia fainali za Miss Hawaii, USA. Alipobadilika rasmi na kutambulika kama dume, aliamua kubaki na jinsia zake za kike. Ameoa na hakubahatika kupata mtoto kwenye ndoa yake hivyo kuamua kubeba mimba!

DUNIANI KUNA MAMBO!

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.