hatimaye ndugu yetu amepumzika kwenye nyumba yake ya milele siku ya jumamosi mida ya alasiri kule makuyuni - tanga. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. amen.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Comments
Anonymous said…
Familia ya ngd Isaac Kwagilwa,nawapa pole kwa msiba mkubwa uliowapata. Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu.Jambo kubwa ni kumtegemea Mungu. Mungu ametoa na ametwaa jina lake ribalikiwe.
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba mkubwa tulionao leo. Ndugu yetu, mpendwa wetu, mwenzetu kwenye TEKNOHAMA na mdau mkubwa wa tafiti mbali mbali za TEKNOHAMA Kaka Andrew dACHI amefariki leo asubuhi nyumbani kwake Fransic Town, Botswana. Kwa sasa sina la ziada, ila tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyotufikia. Tunaungana na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na maombolezo, kumwomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, wakati taratibu za mazishi zinafanyika. Bwana alitoa, nae ametwaa. Jina lake lihimidiwe. tunaweza kujikumbusha moja ya kazi zake kwa kufungua ' http://www.isaconsulting.biz /' email yake ilikuwa ' andrew.dachi@isaconsulting.biz '
Comments
Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu.Jambo kubwa ni kumtegemea Mungu.
Mungu ametoa na ametwaa jina lake ribalikiwe.